Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI ATUNUKIWA TUZO YA V.I.P GLOBAL WATER CHANGEMAKERS, KUKABIDHIWA KESHO.

Ikulu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Tuzo maalumu ya 'VIP Global Water Changemakers Awards' kutokana na jitihada zake za kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kuanzisha na kuzindua programu ya uwekezaji katika sekta ya maji.


Tuzo hiyo ilitotolewa Machi 22, 2023, Jijini New York, Marekani, wakati wa Mkutano wa Maji wa Umoja wa Mataifa.


Taarifa iliyotolewa leo na Ikulu ya Zanzibar, imesema RIs Dk. Mwinyi atakabidhiwa tuzo hiyo ya Kimataifa ya Mabadiliko ya Sekta ya Maji atakabidhiwa kesho Aprili 5, 2023, saa 3 asubuhi.

Rais Dk. Mwinyi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana