Featured

    Featured Posts

GENZABUKE ATAKA WAKULIMA WAPIMIWE ARDHI WAPATE HATIMILIKI WAWEZE KUKOPEA BENKI+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke ameitaka serikali kuwapimiawananchi mashamba yao ili wapate hatimiliki zitakazosaidia kupatia mikopo benki kama dhamana na ameomba mbolea isambazwe hadi vijijini kuwapunguzia mzigo wananchi kufuata mijini.Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mei 9, 2023.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akilipambania jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana