Featured

    Featured Posts

MBUNGE NDAKIDEMI AIBANANISHA SERIKALI KUULINDA MLIMA KILIMANJARO+video





Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameihoji serikali ina mpango gani wa kuishirikisha jamii katika uhifadhi wa mazingira kuzunguka Mlima Kilimanjaro) Amehoji hilo nA mambo mengine wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 5, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akipambania jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana