Msanii wa kizazi kipya Harmonize akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Julai 22, 2023 ambapo itatolewa elimu kwa wananchi kuhusu usahihi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Post a Comment