Featured

    Featured Posts

KUMEKUCHA MKUTANO WA CHONGOLO KOROGWE TANGA

 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mzee wa Bwax akitumbuiza katika mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo mjini Korogwe Tanga asubuhi hii, ambapo atahutubia na kueleza usahihi wa makubaliano ya uwekezaji wa Bandari.

Tayari mpaka sasa Komredi Chongolo na viongozi wengine wa chama na serikali wametoa elimu hiyo katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo ni Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Katavi na mikoa ya Kanda ya Kusini ambayo ni Ruvuma, Lindi na Mtwara.













 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana