Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo wa kueleza ukweli kuhusu uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Mwanga Centre mjini Kigoma Julai 26, 2023.
Sehemu ya Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wabunge wa mikoa ya Kigoma na Katavi wakishiriki kwenye mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment