Featured

    Featured Posts

MSAGA SUMU 'AWASHA MOTO' MKUTANO WA CHONGOLO MWANZA+video

 


 Msanii wa kizazi kipya Msaga Sumu akitumbuiza wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Julai 30, 2023.

Lengo la mkutano huo  uliohufhuriwa na na baadhi ya wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ni kuieleza Jamii kuhusu usahihi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Hadi sasa Komredi Chongolo na baadhi ya viongozi wa chama na serikali amefanya mikutano kama hiyo katika Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini, Kanda ya Kaskazini, Mkoa wa Tanga, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kati, Kanda ya Mashariki na sasa Kanda ya Ziwa.




IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana