Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI 'MWANA FA' APAGAWISHA MKUTANO WA CHONGOLO TANGA


Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mbunge wa Jimbo la Muheza,Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA akitumbuiza wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM,  Komredi Daniel Chongolo wa kutoa elimu sahihi kuhusu uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam mjini Korogwe Tanga Julai 19,2023.









 Mwana FA akipongezwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Chongolo baada ya kutoa burudani ya aina yake kwenye mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana