Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI AOMBOLEZA KIFO ALIYEWAHI KUWA MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR JECHA, ATUMA SALAM ZA POLE

Zanzibar, leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hissein Ali Mwinyi ameomboleza kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha, aliyefariki dunia leo, Julai 18, 2023 jijini Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023 na kuzikwa leo.

Akiomboleza, Rais Dk. Mwinyi ametuma salam za pole, akiisihi familia ya Marehemu Jecha kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha msiba na kumuomba Mwenyeezi Mungu amjaalie kauli thabiti marehemu Jesha.

"Sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea", amesema Rais Dk. Mwinyi katika taarifa tuliyotumiwa.

Jecha Salim Jescha enzi za uhai wake.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana