Featured

    Featured Posts

RAIS DK.MWINYI AONGO MAZIKO YA JECHA, ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali  katika sala na  maziko  ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha   aliyezikwa leo  Mkwajuni  Kidombo, Wilaya ya Kaskazini  A, Mkoa wa Kaskazini Unguja. 


Marehemu Jecha Salim Jecha amefariki dunia leo Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam .

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana