Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI ATOA POLE KWA MAREHEMU BI KHADIJA ALIYECHANGANYA UDONGO WA MUUNGANO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua na  Wanafamilia ya Marehemu Bi. Khadija Abbas,  iliyoombwa leo  alipofika  nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa Wanafamilia hao. Wakati wa uhai wake Bi Khadija alishiriki kuchanganya udongo wakati wa kuasisiwa rasmi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar;
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanafamilia ya Marehemu Bi.Khadija Abbas (aliyechanya udongo katika Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) leo  alipofika  kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu huyo Rahaleo Mjini Zanzibar .(Picha na Ikulu) 01/09/2023 .
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana