Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA: HATUKUTOA FURSA YA MIKUTANO YA HADHARA ILI WATU KUVUNJA SHERIA

 *YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA UNAOSHIRIKISHA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA KIKOSI KAZI NA KUJADILI HALI YA SIASA NCHINI ULIOFANYIKA SEPTEMBA 11, 2023 JIJINI DAR -ES SALAAM*

*Aliyosema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan*

# R4 (Reconciliation, Resilience, Rebuilding & Reform) ni falsafa zangu ambazo nimezichukua kama msingi unaoniongoza katika kuongoza nchi hii ili tusonge mbele kama Taifa kwa pamoja

# Mapendekezo ya tathmini ya mwenendo wa Vyama vya Siasa tunayozungumza leo kutoka katika kikosi kazi tulichokiunda yametokana na Wadau wote wa siasa nchini

# Tupo katika matayarisho ya Dira yetu ya Maendeleo ya Mwaka 2050, inamhusu kila Mtanzania na vyama vya siasa mnatakiwa kuijadili, tupate maoni yenu

# Tayari Serikali imeshaanza kutelekeleza mapendekezo ya kikosi kazi ikiwemo kuruhusu kufanyika mikutano ya hadhara ambapo sasa hivi mikutano hii inafanyika sehemu mbalimbali nchini

# Hatukutoa fursa ya mikutano ya hadhara ili watu kuvunja Sheria, tumieni fursa hii kujenga Sera zenu kwa wananchi na si vinginevyo

#Hakuna aliye juu ya sheria, atakaye fanya kosa atachukuliwa sheria, kila mtu adumishe amani, umoja na mshikamano wa Kitaifa

# Kuna uhuru wa kutoa maoni lakini una mipaka yake kisheria na kibinadamu

# Marekebisho ya Katiba yetu yameanza kufanyiwa kazi, si mali ya vyama vya siasa bali ni mali ya Watanzania wote, hatutakurupuka katika hili, tutaenda taratibu ili kuweka kila kitu sawa ikiwemo kutoa elimu kwa Watanzania ili kila mtu atoe maoni yake ya nini kibadilike

# Kila nchi na mambo yake, Demokrasia ni jinsi nchi inavyoendesha masuala yake na si kuiga za nchi zingine na kulazimisha kubadili mienendo ya nchi yetu

# Demokrasia sio matusi, demokrasia ni kutoa maoni, tusiitumie vibaya

# Vyama vya siasa nawakumbusha misingi yetu kufuatwa ambayo ni pamoja na kuheshimu maazimio yetu, kuheshimu sheria za Serikali, kuheshimiana  

# Kwa kushirikiana na viongozi wa dini, watu wote tukemee mmomonyoko wa maadili ili tulilinde Taifa letu

# Viongozi wa vyama vya siasa tubadilikeni, tupendane, tuheshimiane, tuwe na maadili

*Aliyoyasema Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa* 

# Kisiasa nchini tunaendelea vizuri, mahusiano ya vyama vyetu yanazidi kuimarika na Ofisi ya Waziri Mkuu ambayo imepewa dhamana ya kuratibu shughuli za kisiasa tunaendelea kushirikiana na vyama vyetu kupitia Baraza la Vyama vya Siasa nchini.

# Mheshimiwa Rais toka ulipoingia madarakani kwa dhamira yako na kwa nia njema yako uliona upo umuhimu wa vyama vyetu vya siasa kukaa meza moja kuzungumza lakini pia kupitia changamoto zinazozikabili kwa maslahi ya taifa.

# Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Makamu wa Rais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mawaziri wa nchi wa ofisi hizi wameendelea kuratibu hatua kwa hatua mpaka kuunda vikosi kazi ambavyo vimeendelea kufanya jukumu hili na hatimae kuifikia hatua ya kuwa na m pango mkakati wa namna ya kwenda ili kuimraisha mwenendo wa vyama hapa nchini.

#Leo hii tunakutana hapa ikiwa nikikao cha kutathimini utekelezajii wa mapendekezo yaliyochakatwa na vikosi kazi vyetu na pia kujadili hali ya siasa nchini. 

*Aliyoyasema Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama* 

# Tumeshuhudia Mataifa mengi ulimwenguni na taasisi nyingi duniani zimekupa tuzo mbalimbali kuthamini mchango wako kama kiongozi wa nchi hii mwenye maono na matendo yenye kuongoza taifa kwa amani kubwa. 

# Katika Mkutano huu tutapata nafasi ya kuangalia ni kwa namna gani taifa letu litaimarisha na kuboresha demokrasia hapa nchini.

# Wajumbe hawa wameitika wito wako, kuja kusikiliza na kushiriki, kuinua sauti ya Watanzania katika kuhakikisha kwamba agenda ya demokrasia na hasa katika mfumo wa vyama vingi inakuwa ni agenda ya pamoja na kuimarisha amani, utulivu na ummoja wa kitaifa.

# Mikutano ya namna hii mara nyingi imekuwa ikitoa matokeo chanya lakini kwa uongozi wako umetumia mikutano ya namna hii kujenga utamaduni wa kuzungumza na kusikilizana.

*Aliyoyasema Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi* 

# Mikutano kama hii inatusaidia kufungua fursa ambazo zimeminywa za Wadau kukaa kwa pamoja na kueleza zile changamoto zinazowakabili.

# Mkutano huu umefurika kwa kuwa hatujawahi kuwa na mikutano ya aina hii ambayo inatusaidia kuondoa zile nyufa zinazokuwepo.

# Masuala tunatokwenda kujadili ni matokeo ya matunda ya kikosi kazi kwenye Mkutano kama huu uliofanyika Jijini Dodoma ikiwa na lengo la kutathimini utekelezaji wa mapendekezo yake na kujadili hali ya kis

# Masuala tunatokwenda kujadili ni matokeo ya matunda ya kikosi kazi kwenye Mkutano kama huu uliofanyika Jijini Dodoma ikiwa na lengo la kutathimini utekelezaji wa mapendekezo yake na kujadili hali ya kisiasa nchini, ili tuweze kuishauri Serikali ipasavyo.

*Aliyoyasema Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa Juma Ali Khatib*

# Mheshimiwa Rais, Baraza la Vyama vya Kisiasa linakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuimarisha demokrasia na kutunza amani ya nchi kwa taifa letu.

#Tunashukuru kwa kutoa ruhusa ya kufanyika kwa mikutano ya hadhara nchini, uwepo wako umesaidia baraza kukutana na kufanya kazi.

*Imeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO*

iasa nchini, ili tuweze kuishauri Serikali ipasavyo.

*Aliyoyasema Mwenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa na Msajili wa Vyama vya Siasa Juma Ali Khatib*

# Mheshimiwa Rais, Baraza la Vyama vya Kisiasa linakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuimarisha demokrasia na kutunza amani ya nchi kwa taifa letu.

#Tunashukuru kwa kutoa ruhusa ya kufanyika kwa mikutano ya hadhara nchini, uwepo wako umesaidia baraza kukutana na kufanya kazi.

*Imeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO*

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana