Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Waziri Mkuu Mstaafu Ndg. Mizengo Peter Pinda amezindua Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa CCM Jimbo la Mbarali leo Tarehe 10/09/2023 viwanja vya Stendi kata ya Rujewa.
Mhe. Pinda Pamoja na Viongozi wa Chama ngazi ya Taifa wakiongozwa na Mratibu wa Kampeni Jimbo la Mbarali Ndg. Issa Gavu wamemnadi mgombea na kumwombea kura Ndg. Bahati Keneth Ndingo mbele ya wananchi na wanachama wa CCM wa Mbarali .
#KaziIendelee
#MbaraliyaCCM

Post a Comment