Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubery Ali Maulidi akimkabidhi Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi kombe la ushindi wa jumla wa NMB Bunge Bonanza kwenye viwanja vya Shule ya John Merlin, Miyuji jijini Dodoma Septemba 2, 2023.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA



Post a Comment