Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasili kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
MaisMsanii Harmoniz akitumbuiza kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023. (Piha zote na Ikulu).





Post a Comment