Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa Dar es Salaam Mwajabu Mbwambo, amepokea Wanachama wapya wa Jumuiys hiyo Tawi la Kivule Mashariki.
Wanawake hao wamevutiwa sana kujiunga na UWT ikiwa ni ishara ya kuunga mkono Juhudi za Rais Dk. Samia Sulu Hassan katika kutekeleza mambo mbalimbali yanayohusu Wanawake na watoto kwenye afya, elimu, maji na kupinga ukatili wa kijinsia.
Cde Mwajabu Mbwambo akikabidhi kadi kwa mwanachama.
Post a Comment