Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Mary Chatanda amewataka viongozi wasioendana na kasi ya UWT wawapishe mapema ili nafasi zao zichukuliwe na wanawake vijana walio tayari hata kwa kujitolea.
Ameyasema hayo alipokuwa akifunga semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa watendaji wa UWT kutoka Tanzania Bara na Visiwani jijini Dodoma Desemba 11, 2023.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment