RAIS DK. SAMIA AZINDUA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA (NECTA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaidiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda kuvuta kijipazia, kuzindua Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam, leo Disemba 16, 2023.

Post a Comment