Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama akiongoza kikao cha kukusanya maoni kuhusu mswaada wa sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma Januari 8, 2024.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Ananilea Nkya akitoa maoni ambapo pamoja na mambo mengine kwamba iwepo sheria ya vyombo vya habari kuwatendea haki wagombea wote kwa kuripoti habai zao bia upendeleo.
Mwakilishi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Juda Ruwa'ichi akiwasilisha maoni ya baraz hilo. .Askofu Peter Konki wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania akiwasilisha maoni ya kanisa hilo.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kutoa maoni
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria ambao ndiyo waratibu wa maoni hayo.
Mkurugenzi wa Mafunzo na Mikakati wa Taasisi ya TWAWEZA EAST AFRIKA, Dk. Baruani Mshale . Alisistiza katika mswada wa sheria hiyo kuwepo na kifungungu cha matumizi ya Teknolojia ya katika hatua zote za uchaguzi.
Mjumbe wa Kmamati ya Bunge, Yahya Masare akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya wabunge wakiwa katika kikao hicho
Mjumbe wa Kamati, Seif Gulamali akitoa muongozo wa washiriki wa kikao hicho kutozomea wala kushangilia endapo mtu atachukizwa ama kufurahishwa na mtoa maoni kwa lengo la kuleta utulivu.
Mkurugenzi wa Utetezi na Mabioresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe akiwasilisha maoni ambapo pamoja na mambo mengine anataka mswada utende haki kwa wafungwa nao kupiga kura.
IMEANDALIWA NA REICHARD MWAIKENDA
0754264203
Post a Comment