Featured

    Featured Posts

AMIRI JESHI MKUU RAIS DK. SAMIA ATUNUKU KAMISHENI KATIKA CHUO CHA KIJESHI MONDULI MKOANI ARUSHA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu, katika sherehe iliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha, leo tarehe 18 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe iliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha, leo  tarehe 18 Novemba 2023. 
Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 Refu (Regular) wakivalishana vyeo, baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi MkuuMhe. Samia Suluhu Hassan, katika sherehe iliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha, leo tarehe 18 Novemba 2023.

 
 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana