Featured

    Featured Posts

RAIS WA ROMANIA AWASILI ZANZIBAR, AKUTANA NA KUFANAYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MWINYI

Rais wa Romania Klaus Iohannis ambaye yupo nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku nne, akiwasili Zanzibar, leo.
Rais wa Romania Klaus Iohannis akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi- Zanzibar Jamal Kassim Ali baada ya kuwasili Zanzibar.
Rais wa Romania Klaus Iohannis akipokea shada la maua, baada ya kuwasili Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Klaus Iohannis baada ya kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.
Rais wa Romania Klaus Iohannis akisaini kitabu cha wageni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na mgeni wake Rais wa Romania Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Zanzibar leo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana