Featured

    Featured Posts

DC MWANZIVA ASISITIZA UZALISHAJI MALI GEREZA LA LUDEWA

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa.


Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema “Gereza hili lipo chini ya Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA)- likizalisha Wastani wa mavuno wa zaidi ya Tani 520 kwa mwaka- Gereza hili linatekeleza mradi wa Kilimo likiwa na lengo la kuzalisha chakula cha kutosheleza kuhudumia Gereza hili na magereza mengine chini ya mradi huu wa SHIMA kwa Mkoa wa Njombe, na kitaifa”


Katika hatua nyingine amepongeza mpango uliopo wa wafungwa kupatiwa ujuzi na stadi za kazi zitakazo wasaidia  wanaporejea uraini na kusisitiza utaratibu huu uendelee.

Mwisho DC Ludewa amewashika mkono Magereza Ludewa kwa kuwapatia mahitaji muhimu mbalimbali.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana