Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo akizungumza katika Mkutano wa Makandarasi na Wasahauri Elekezi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 21, 2023, ambapo amewapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya nchini,lakini pia amekemea vitendo vya baadhi ya wakandarasi wanaoifedhehesha tasnia hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akihutubia katika mkutano huo.Sehemu ya washiriki wa mkutano huo ambao asilimia kubwa ni wakandarasi na washauri elekezi wa sekta ya ujenzi nchini.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Komredi Chongolo akitoa ujumbe huo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

Post a Comment