Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Gavu amesema kuwa CCM haitokuwa tayari kumbeba kiongozi asiyehangaika na changamoto za wananchi.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza hivi karibuni katika kikao cha Baraza la Wazee mkoani Singida.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Komredi Gavu akitoa ujumbe huo muhimu
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
...

Post a Comment