 |
Mkuu wa Kitengo cha Masiliano ya Umma kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Thobias Makoba, akizungumza katika kikao kazi baina ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) na Wahariri, Waandishi wa Habari, ulioratibiwa na OTR na kufanyika jijini Dar es Salaam, leo Novemba 21, 2023. Kutoka wapili kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF Justina Mashiba, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Tanzania (TEF) Deodatus Balile na Mkurugenzi wa Uendeshaji UCSAF Albert Richard
|
 |
| Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF Justina Mashiba, akiwasilisha utendaji wa Mfuko huo, katika kikao kazi baina ya UCSAF na Wahariri, Waandishi wa Habari, ulioratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) na kufanyika jijini Dar es Salaam, leo Novemba 21, 2023. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji UCSAF Albert Richard, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Tanzania (TEF) Deodatus Balile, Mkuu wa Kitengo cha Masiliano ya Umma OTR Thobias Makoba na Afisa Habari Mwandamizi OTR Sabato Kosuri. |
 |
| Afisa Mtendaji Mkuu wa UCSAF Justina Mashiba, akiwasilisha utendaji wa Mfuko huo, katika kikao kazi baina ya UCSAF na Wahariri, Waandishi wa Habari, ulioratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) na kufanyika jijini Dar es Salaam, leo Novemba 21, 2023. |
 |
| OTR Thobias Makoba na Sabato Kosuri wote kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) wakimsikiliza wa makini Afisa Mtendaji Mkuu huyo.. |
 |
Baadhi wa wahjariri na waansihi wa habari wakiwa kwenye kikao kazi hicho
|
 |
| Mkuu wa Kitengo cha Masiliano ya Umma OTR Thobias Makoba akiteta jambo na Mwenyekiti wa TEF Deodatus balile mwishoni mwa kikao kazi hicho. |
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment