Rais Mstaafu Dk. Kikwete ambaye ni Mlezi wa Jukwaa la Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (YouLead Summit), pamoja na mambo mengine, alifika Ikulu ya Nairobi kumjulisha Rais Ruto juu ya masuala mbalimbali ya Mkutano wa Jukwaa hilo unaotarajiwa kuanza kesho jijini Nairobi. (Na Mpigapicha Maalum).
RAIS MSTAAFU DK. KIKWETE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA, IKULU JIJINI NAIROBI, LEO
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Samoei Ruto, Ikulu ya Nairobi, leo Novemba 19, 2023.


Post a Comment