Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA COP28 JIJINI DUBAI EXPO, 01 DESEMBA, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Disemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki moja ya Mikutano kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu tarehe 01 Disemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali Duniani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika katika Jiji la Dubai Expo, 01 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muunmgano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na Rais wa Falme za Kiarabu na Mtawala wa Abu Dhabi, Mhe. Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan (kulia) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bw. António Guterres (kushoto) wakati wa Mkutano wa (COP28) Jijini Dubai Expo, 01 Desemba, 2023
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana