Spika wa Bunge Job Ndugai, akiagana na Mbunge wa Misugwi Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma, kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai.PICHA NA BUNGE
Post a Comment