Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.(The 20th Ordinary Summit of The EAC Heads of State) Katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Arusha - AICC. Tazama hapo chini
Post a Comment