Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya jeneza wakati wa mazishi ya Hidaya Omar, Mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir (kushoto kwa Waziri Mkuu) yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, leo, Januari 31, 2019. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Sheikh Mohammed Kigoda aliyeongoza sala hiyo na kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum.
Post a Comment