Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi MOI Dkt. Respicious Boniface akifungua kikao cha pili cha baraza la Nne la wafanyakazi wa Taasisi hiyo lililofanyika leo Mei 23 katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa mkoa Tanga. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi MOI wakiimba wimbo wa mshikamano katika vikao vya baraza la wafanyakazi MOI
Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi MOI wakifutilia mada mbalimbali katika ukumbi wa Mikutano wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga
Naibu Katibu Baraza la Wafanyakazi MOI Evelyne Machumu akizungumza katika baraza la Kikao cha pili cha baraza la Nne la wafanyakazi wa Taasisi hiyo lililofanyika leo Mei 23 ukumbi wa mikutano wa mkuu wa mkoa wa Tanga
Post a Comment