Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Ufundi  wa Kiwanda cha kuchakata Mpunga na kuzalisha Mchele cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd Mkoani Morogoro  Bw. Vaidya  Subramaniam wakati wa hafla ya Uwekaji  Jiwe la Msingi wa Kiwanda hicho leo Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanda Cha kuchakata Mpunga na kuzalisha Mchele cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd kiliopo Mkoani Morogoro leo Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani 
Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana