Featured

    Featured Posts

WASANII WA TAMTHILIA BORA AFRIKA YA JUAKALI INAYORUSHWA DSTV WATAMBULISHWA BUNGENI+video

Wasanii waliofanikisha ushindi wa Tamthilia hiyo wakiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma, baada ya kutambulishwa bungeni Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

 Wasanii waigizaji na waongozaji wa Tamthilia ya Juakali inayorushwa DSTV ambayo imepata ushindi kuwa Tamthilia Bora Afrika katika mashindano yaliyofanyika nchini Zambia, wakielezea furaha yao baada ya kupata heshima ya kutambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip ya video hii baadhi ya walioshiriki kufanikisha ushindi huo wakielezea furaha yao baada ya kutambulishwa bungeni Dodoma....

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana