Featured

    Featured Posts

RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU NA JOAO MANUEL GONCALVES LOURENCO WA ANGOLA WAWASILI NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA SADC

Marais wawili, Edgar Lungu wa Zambia na João Manuel Gonçalves Lourenço wa Angola wamewasili Tanzania kuhudhuria Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Mkutano huo unaoshirikisha nchi 16 za SADC unafanyika kuanzia kesho Jumamosi jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa mkutano huo ni Rais John Magufuli wa Tanzania.

Marais wengine waliokwisha kuwasili nchini ni; Danny Faure wa Shelisheli na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © 2025 Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana