Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA WIKI YA UWEKEZAJI MKOA WA KAGERA NA MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOA KAGERA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili mkoani Kagera, kwa ajili ya kufungua Kongamano la Wiki ya Uwekezaji Mkoa wa Kagera na Mwongozo wa Uwekezaji mkoani humo. Agosti 14.2019. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Gaguti.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mvinyo uliyotengenezwa kwa kutumia ndizi, wakati akikagua mabanda, kabla ya kufungua kongamano la uwekezaji mkoani Kagera, Agosti 14.2019. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kagera Women Group, Bertha Kokulengya, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Gaguti. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika madini ya kopa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Tanzania Plus Minerals Kyerwa, Salim Mhando, wakati akikagua mabanda, kabla ya kufungua kongamano la uwekezaji mkoani Kagera, Agosti 14.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wajasiriamali wa kikundi cha Wanawake cha Bezaleli, wakati akikagua mabanda, kabla ya kufungua kongamano la uwekezaji mkoani Kagera, Agosti 14.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa maeneo ya uwekezaji Mkoa wa Kagera na Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Benard Limbe, kabla ya kufungua kongamano la uwekezaji mkoani Kagera, Agosti 14.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kufungua kongamano la uwekezaji mkoani Kagera, Agosti 14.2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua kitabu cha muongozo wa uwekezaji katika Mkoa wa Kagera, baada ya kufungua Kongamano la Wiki ya Uwekezaji Mkoa wa Kagera na Mwongozo wa Uwekezaji mkoani humo. Agosti 14.2019. 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana