Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo akishiriki katika ujenzi makazi ya kisasa ya askari 10 alipotembelea jana Gereza la Boko, ambapo pia alikagua shughuli mbalimbali zinazoendelea katika gereza hilo. Alivutiwa na mapinduzi makubwa yanayofanywa na uongozi mpya wa gereza hilo.
Hivi sasa wanaendelea na ujenzi wa makazi ya kisasa ya askari 10 pamoja na eneo la bwalo la shughuli mbalimbali. Nimewapongeza kwa namna wanavyotumia shughuli hizo pia kama darasa kwa wafungwa kujifunza kazi za ufundi kwa vitendo. Pia alipata wasaa wa kuzungumza na wafungwa na baadhi ya askari na maafisa,

Post a Comment