Mtoto Edda Salehe wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Bariadi mkoani Simiyu, akionesha alama ya ubora ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), katika moja ya bidhaa zilizothibitishwa ubora wake na TBS, katika Maonesho ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa yaliyoanza Oktoba 14 na kufikia kilele leo mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa shirika hilo, Roida Andusamile.


Post a Comment