Featured

    Featured Posts

WATU 4 WAUAWA MKOANI KAGERA

Watu 4 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa mkoani Kagera wakati wakijibizana kwa risasi na jeshi la polisi wilayani Bihalamuro  katika eneo la pori la ngazi 7.

Kwa mujibu wa kamishina wa operesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Liberatus Sabas amesema tukio hilo limetokea wakati polisi wakiwa katika Doria yao ya kawaida ambapo waliona kundi la watu wakitokea kaka pori hilo na kuwaamuru kujisalimisha.

Kamanda Sabas amesema kuwa baada ya watu hao hawakuweza kutii amri hiyo badala yake walianza kurushiana risasi na polisi walipojibu walifanikiwa kuwapiga risasi na kufanikiwa kuwaua.

Kamishna  amesema operesheni  maalum inaendelea katika mikoa ya Geita Kigoma na Kagera kutokana na mikoa hiyo kuwa na matukio mengi ya unyang’anyi wa kutumia siraha.  Aidha amesema wmefanikiwa kupata siraha moja aina ya SMGna risasi 7 waliyokuwa wakitumia waharifu hao.Hataa hivyo kwa mujibu wa kamishna sabas miili ya watu hao ipo ka?ka hospitali ya mkoa hu
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana