Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikata Keki akisherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwake Novemba 1, 2019. katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Kurasini Dar es Salaam.
Napenda kumshukuru Mungu kuniwezesha kufikia siku kama ya leo na kuja kushirikiana katika kusherehekea kumbukizi ya Siku yanga ya kuzaliwa pamoja nanyi na nimeongozana na jamaa na wajukuu zangu nikiwaletea zawadi kidogo na nikaona nije kukata Keki pamoja nanyi, alisem mtemvu;.
Hayo amesema wakati alipofika katika Kituo Cha kulele watoto cha Kurasini na nitaomba vijana wawili ama watoto niweze kusaidi gharama za masomo na mambo mengine madogomadogo na leo sina mengi na nipenda kuwashukuru kwa kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa pamoja nanyi.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akilishwa kipande cha Keki na mjuu wake Aysa wakati alipofika katika kituo cha watoto yatima Kurasini Dar es Salaam
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akimlisha kipande cha Keki mmoja kati ya watoto waliopo katika Kituo hicho, Boke Mseti (kushoto)
Post a Comment