MOTO WAZUKA KATI YA GHOROFA ZILIZOPO MTAA WA PEMBA DAR ES SALAAM
Wananchi wakiangalia moto uliokuwa ukiwaka katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Moja ya Gari Zimamoto na Uokoaji nchini likiwa eneo latukio likipandisha maji juu
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini wakishirikiana na wananchi kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wananchi wakiwa chini
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto wakishirikiana na wananchi kuuvuta mpira wa maja katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam
Post a Comment