Leo Desemba 30/2019 Tanga Airport tumempokea Mhe.Benjamin William Mkapa, Rais mstaafu awamu ya tatu ambaye amekuja nyumbani kusherehekea nasi mwaka mpya.
Mapokezi yameongozwa na Mhe.DC wilaya ya Muheza , na kuhudhuriwa na Kamati ya ulinzi na usalama mkoa na wilaya ya Tanga, Kaimu Mkurugenzi Jiji la Tanga Ndg. Poss, Mhe. Mkoba Mwenyekiti ccm wilaya,Ndg. Kidima Katibu ccm wilaya na Ndg. Kapange Katibu siasa na uenezi wilaya pamoja na wakuu was idara za serikali.
Lupakisyo Kapange
Katibu Siasa na Uenezi
Wilaya ya Tanga
Post a Comment