Featured

    Featured Posts

UTAMBULISHO WA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA KLABU YA SIMBA ULIVYOFANA LEO BUNJU


Kaimu Mwenyekiti wa Simba SC, Mwina Kaduguda akihutubia mamia ya wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuonyeshwa viwanja viwili vya mazoezi vya klabu hiyo, wa nyasi bandia na halisi eneo la Bunju mjini Dar es Salaam, zoezi ambalo lilihudhuriwa na wachezaji pia   

Gwiji wa klabu, Abdallah Athumani Seif 'King Kibadeni' akihutubia katika sherehe hiyo


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © 2025 Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana