RAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MWANAKWEREKWE MJINI ZANZIBAR
Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar, ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.
Post a Comment