Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğana zungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusui utekelezwa wa kuifikia hatua ambazo malengo yake ni suluhisha la kisiasa katika mzozo wa Libya.
Kwa mujibu wa rais wa Uturuki suluhisho la kisiasa katika mzozo wa Libya ndio njia pekee ya kufikia katika amani ya kudumu.
Rais Erdoğan amezungumza na rais Putin nje ya mkutano wa Berlin , mkutano ambao malengo yake ni kumaliza vita iliopo nchini Libya .
Kusitishwa kwa mapigano nchini Libya ni moja ya hatu ambazo zitapeleka amani ya kudumu nchini humo.
Rais Erdoğan amesema kwamba Haftar anatakiwa kuachana na harakati za aina yeyote ambazo ni kizuizi kufikia katika malengo ya amani.
Ushirikiana katika mzozo wa Libya, rais Erdoğan ameonesha matumaini kuwa mkutano wa Berlin nchini Ujerumani utatoa matunda.
Post a Comment