Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali shambulizi la wanamgambo wa Houthis dhidi ya kambi ya jeshi la Yemen.
Taarifa iliotolewa na wizara hiyo ya mambo ya nje ya Uturuki imetolea wito pande zote mbili nchini Yemen ikiwa serikali na wapiganaji wa Houthis kuepuka chokochoko ambazo zinaweza kuibua mzozo upya nchini humo na kusababisha maafa ya raia wasiokuwa na hatia.
Uturuki imelaani vikal shambulizi la Houthis ambalo limetajwa kupeleka vifo vya watu 70 na kuwajeruhi wengine wangi.
Post a Comment