BARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA UBUNGO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KAWAIDA CHA ROBO YA PILI YA MWAKA 2019/20
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic akifungua Kikao cha Baraza la kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kikao hicho, Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob. Picha na Bashir Nkoromo. KWA PICHA NYINGI ZAIDI ZA KIKAO HICHO TAFADHALI BOFYA HAPA
Post a Comment