Taarifa ya maandishi iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema,
“Katika muktadha wa mpango wa mauzo ya nje wa vifaa vya kijeshi ulioisimamiwa na wizara yetu tumepokea kwa furaha uamuzi wa serikali ya Poland kununua ndege za kivita 32 aina ya F-35A Lightining II, mauzo yenye thamani ya dola bilioni 4,6.
Post a Comment