Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC)  kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipunga mkono kuwaaga washiriki wa Mkutano  wa Baraza la Mawaziri  wa Jumuiya  ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) baada ya kufungua mkutano huo kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana