Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika kikao kazi cha  Mawaziri na Makatibu Wakuu  cha kujadili mikakati ya kudhibiti ugonjwa  wa Corona hapa nchini, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, leo  Machi 23, 2020. Katikati ni Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Dk. Zainab Chaula.

Baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipoungumza nao katika kikao kazi  kuhusu mapambano dhidi ya ugonjwa Corona  (COVIC -19) hapa nchini, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, leo Machi 23, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana