Juma Hamad Omari ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ole, Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa tiketi ya CUF ameomba kujiunga na CCM na kujivua vyeo vyake vyote ndani ya CUF.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Chama cha Mapinduzi-CCM, Mbunge huyo akiambatana na Wanachama wa CUF na ACT 564 amepokelewa na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole.
Post a Comment